A ACADEMIA TODAY Senior Member Joined Jun 7, 2013 Posts 179 Reaction score 86 Sep 12, 2013 #1 Wakuu habari za majukumu. Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo? na sifa zinazohitajika ni zipi? nahitaji post graduate diploma. kwa sasa nina masters ya HR. ASANTENI KWA USHAURI.
Wakuu habari za majukumu. Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo? na sifa zinazohitajika ni zipi? nahitaji post graduate diploma. kwa sasa nina masters ya HR. ASANTENI KWA USHAURI.
xir jyerphy JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 994 Reaction score 184 Sep 12, 2013 #2 Mkuu labda ungepeleka hii mada jukwaa la elimu, yawezekana kuna majibu mazuri zaidi
A ACADEMIA TODAY Senior Member Joined Jun 7, 2013 Posts 179 Reaction score 86 Sep 13, 2013 Thread starter #3 Asante kiongozi xir jyerphy said: Mkuu labda ungepeleka hii mada jukwaa la elimu, yawezekana kuna majibu mazuri zaidi Click to expand...
Asante kiongozi xir jyerphy said: Mkuu labda ungepeleka hii mada jukwaa la elimu, yawezekana kuna majibu mazuri zaidi Click to expand...
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,067 Reaction score 4,434 Sep 14, 2013 #4 nenda chuo cha ustawi wa jamii( instituye of social work) dar.kipo kijotonyama karibu na tbc wana post grdl ya law in madiation and arbitration
nenda chuo cha ustawi wa jamii( instituye of social work) dar.kipo kijotonyama karibu na tbc wana post grdl ya law in madiation and arbitration