ACADEMIA TODAY
Senior Member
- Jun 7, 2013
- 179
- 86
Wakuu habari za majukumu.
Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira
je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo?
na sifa zinazohitajika ni zipi?
nahitaji post graduate diploma.
kwa sasa nina masters ya HR.
ASANTENI KWA USHAURI.
Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira
je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo?
na sifa zinazohitajika ni zipi?
nahitaji post graduate diploma.
kwa sasa nina masters ya HR.
ASANTENI KWA USHAURI.