T TATA PANYA Member Joined Jul 26, 2013 Posts 54 Reaction score 8 Mar 19, 2015 #1 Naomben kujuzwa gharama katika vyuo hivyo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 am serious jamani
Kig JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 1,076 Reaction score 458 Mar 19, 2015 #2 Acha uvivu na kusumbua watu bila sababu ya msingi. tafuta kwenye website za vyuo husika. Kama umeweza kupost hapa JF ina maana una access na internet na kwenye website za kila chuo kuna kila kitu kuhusiana na hicho chuo.
Acha uvivu na kusumbua watu bila sababu ya msingi. tafuta kwenye website za vyuo husika. Kama umeweza kupost hapa JF ina maana una access na internet na kwenye website za kila chuo kuna kila kitu kuhusiana na hicho chuo.
O oswinwilliam Senior Member Joined Jan 6, 2015 Posts 112 Reaction score 12 Mar 19, 2015 #3 wanatoa ila usiwemzembe pale zaid ya JKT ukiwa mrembo utasoma miaka 7 kila la kheli kaka
Madege JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 530 Reaction score 109 Mar 19, 2015 #4 uwezo wa kuingia jf unao ila kusearch website za vyuo hutaki. ingia mwenyewe uone
Troll JF JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 7,804 Reaction score 12,237 Mar 20, 2015 #5 Teku ndo nini wadau?
N NAMBOGO JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 244 Reaction score 56 Mar 20, 2015 #6 Allen Snr said: Teku ndo nini wadau? Click to expand... Angalia current university ranking utakiona.
N NAMBOGO JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 244 Reaction score 56 Mar 20, 2015 #7 Akiwa mzembe atasoma miaka 7?!!ina maana hakuna kudisco! ndo maana wenye ufaul mdogo hukimbilia hukooo!!
Akiwa mzembe atasoma miaka 7?!!ina maana hakuna kudisco! ndo maana wenye ufaul mdogo hukimbilia hukooo!!
N NAMBOGO JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 244 Reaction score 56 Mar 20, 2015 #8 Vyuo vya serikal vitabak na heshima kwa mazingira ya BONGO,Very strict in academic,u fail u go hom! no repeatition!
Vyuo vya serikal vitabak na heshima kwa mazingira ya BONGO,Very strict in academic,u fail u go hom! no repeatition!
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 574 Mar 20, 2015 #9 npo irnga bei yao ni 1,900,000