PGDE University of Iringa na TEKU Mbeya

PGDE University of Iringa na TEKU Mbeya

TATA PANYA

Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
54
Reaction score
8
Naomben kujuzwa gharama katika vyuo hivyo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 am serious jamani
 
Acha uvivu na kusumbua watu bila sababu ya msingi. tafuta kwenye website za vyuo husika. Kama umeweza kupost hapa JF ina maana una access na internet na kwenye website za kila chuo kuna kila kitu kuhusiana na hicho chuo.
 
wanatoa ila usiwemzembe pale zaid ya JKT ukiwa mrembo utasoma miaka 7 kila la kheli kaka
 
uwezo wa kuingia jf unao ila kusearch website za vyuo hutaki. ingia mwenyewe uone
 
Akiwa mzembe atasoma miaka 7?!!ina maana hakuna kudisco! ndo maana wenye ufaul mdogo hukimbilia hukooo!!
 
Vyuo vya serikal vitabak na heshima kwa mazingira ya BONGO,Very strict in academic,u fail u go hom! no repeatition!
 
Back
Top Bottom