Ph.D in Education

Ph.D in Education

Kisaka80

Senior Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
151
Reaction score
94
Wapendwa Wana JF,

Mwajiri wangu ameniambia yupo tayari kunilipia gharama zote za masomo at OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA(OUT). Hataki niache kazi kwa ajili ya kwenda kusoma Ph.D.

NAOMBENI USHAURI KWA YAFUATAYO:-

1. Muda gani huchukua kumaliza programme ya Ph.D at Open University TZ?
2.Kuna tofauti yeyote kati ya Ph.D ya OUT na ile inayopatikana pale UDSM?
3.Kuna mtu yeyote humu ndani amewahi soma Ph.D yake at Open University in Tanzania? Is it valuable like others?

Natanguliza shuukrani zangu za dhati kwa maoni yenu.

Asante.
 
mimi nilitaka pia kuchukua PhD hapo OUT lakini muda na hela vimenikawiza. kuhusu muda gani utachukua sina hakuka lakini spidi yako inahusika pia
PhD hutegemea study yako sanasana na je, mchango wake ni nini hasa. mfano wasomi wakiisoma watagundua tu ilivyo, Chuo si Tatizo. Labda tu kwa vile watu hupenda sana ku grade vyuo. We andika Proposal Bomba PhD utapata tu na utaitwa Dr fulani
 
Jaribu kufanya utafiti kuhusiana na hiyo shahada unayokwenda somea. Nadhani kwa level ya PhD unapaswa kuwa kwenye nafasi ya kujibu maswali uliyouliza vinginevyo itakuwa vigumu kufanikiwa.
Wapendwa Wana JF,

Mwajiri wangu ameniambia yupo tayari kunilipia gharama zote za masomo at OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA(OUT). Hataki niache kazi kwa ajili ya kwenda kusoma Ph.D.

NAOMBENI USHAURI KWA YAFUATAYO:-

1. Muda gani huchukua kumaliza programme ya Ph.D at Open University TZ?
2.Kuna tofauti yeyote kati ya Ph.D ya OUT na ile inayopatikana pale UDSM?
3.Kuna mtu yeyote humu ndani amewahi soma Ph.D yake at Open University in Tanzania? Is it valuable like others?

Natanguliza shuukrani zangu za dhati kwa maoni yenu.

Asante.
 
Asante mkuu kwa ushauri wako.
mimi nilitaka pia kuchukua PhD hapo OUT lakini muda na hela vimenikawiza. kuhusu muda gani utachukua sina hakuka lakini spidi yako inahusika pia
PhD hutegemea study yako sanasana na je, mchango wake ni nini hasa. mfano wasomi wakiisoma watagundua tu ilivyo, Chuo si Tatizo. Labda tu kwa vile watu hupenda sana ku grade vyuo. We andika Proposal Bomba PhD utapata tu na utaitwa Dr fulani
 
Kwanza nikupe hongera mkuu, hiki chuo ni bomba! utaweza kuhitimu kuanzia muda wa miaka mitatu kulingana na juhudi zako ktk utafiti. Hiki chuo ni cha serikali na kinatambulika TCU hivyo elimu utakayoipata ni equivalent na PhD ya chuo kingine chochote.
 
PhD ni PhD tu katika public universities. Kuhusu muda ninachofahamu kuna minimum time ambayo ndo unaweza kurukusiwa kusubmit thesis yako for examination ambayo ni miezi 36. Chini ya hapo huwezi kusubmit, maximum time inategemea na kasi na uwezo wako wa kiutafiti.

Suala la utofauti kati ya OPEN na UDSM nimeshasema hakuna utofauti mkubwa sana kwa sababu katika Education, vyuo vyote viwili wanatoa PhD by thesis. Moreover unaweza kuwa unasoma OUT but supervisor wako akawa anatoka UDSM, mengine ni taratibu tu za chuo namna wanavyoendesha PhD zao.
 
Back
Top Bottom