Wapendwa Wana JF,
Mwajiri wangu ameniambia yupo tayari kunilipia gharama zote za masomo at OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA(OUT). Hataki niache kazi kwa ajili ya kwenda kusoma Ph.D.
NAOMBENI USHAURI KWA YAFUATAYO:-
1. Muda gani huchukua kumaliza programme ya Ph.D at Open University TZ?
2.Kuna tofauti yeyote kati ya Ph.D ya OUT na ile inayopatikana pale UDSM?
3.Kuna mtu yeyote humu ndani amewahi soma Ph.D yake at Open University in Tanzania? Is it valuable like others?
Natanguliza shuukrani zangu za dhati kwa maoni yenu.
Asante.
mimi nilitaka pia kuchukua PhD hapo OUT lakini muda na hela vimenikawiza. kuhusu muda gani utachukua sina hakuka lakini spidi yako inahusika pia
PhD hutegemea study yako sanasana na je, mchango wake ni nini hasa. mfano wasomi wakiisoma watagundua tu ilivyo, Chuo si Tatizo. Labda tu kwa vile watu hupenda sana ku grade vyuo. We andika Proposal Bomba PhD utapata tu na utaitwa Dr fulani