Pharmaceutical science na Medical Laboratory sc...

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
Eti wakuu kati ya hizo Mbili ipi ni Nzuri kwa kuisoma..
 
kwanza inategemea unakusudia kujiajiri au kuajiriwa? Pili: unazungunzia diploma au degree level?
 
Diploma! Then baadae Degree. Kwa hatua za Mwanzo kuajiriwa ndo mategemeo. Ipi nzuri mkuu
 
lab mshahara ni 250,000/= kwa diploma na degree haizidi 450,000/=
 
Diploma! Then baadae Degree. Kwa hatua za Mwanzo kuajiriwa ndo mategemeo. Ipi nzuri mkuu
pharmaceutical science kuja kupata shahada mlolongo mrefu na kwa level ya diploma huwezi kufungua pharmacy ila duka la dawa muhimu.ila ngazi ya maabara, ukiwa na diploma unaweza kujiajiri hata ukiishia hapo.binafsi nashauri maabara na baada ya kumaliza uwe tayari hata kujitolea bila malipo kwanza upate uzoefu.kisha uwe na mtazamo wa kujiajiri(tnink big - unaweza kuanzisha diagnostistic centre yako) wataalamu wengine ukawaajiri mfamasia nk kwani mgonjwa anaanza kupatikana kwenye vipimo.
 
Thanks Mkuu. Ushaur kwa Wengine pia unakaribishwa.
 
Pharmacy ni nzuri sanaaa, asikudanganye Mtu. Hakuna pharm tech analipwa chino ya tano, nusu ya pharm tech wanafanya kazi zAidi ya sehemu moja.
Ni rahisi kujiajiri maana hawa Jamaa wanafundishwa somo la ujasiliamali . Kama huja apply mpaka Dakika hii sahauuuu kupata chance Mwakahuu.
 
kwa mfumo uliyopo nchini kwasasa, pharm tech anapata ajira ni kweli kabisa na atalipwa mshahara tajwa hapo juu, ila hayuko eligible kuanzisha pharmacy ila anaweza kuajiriwa tu na mwenye shahada ya pharmacy kwenye pharmacy.kwa sheria ya sasa anaweza tu kuruhusiwa kuanzisha duka la dawa muhimu.
 
Pharmacy ni nzuri sanaaa, asikudanganye Mtu. Hakuna pharm tech analipwa chino ya tano, nusu ya pharm tech wanafanya kazi zAidi ya sehemu moja.
Ni rahisi kujiajiri maana hawa Jamaa wanafundishwa somo la ujasiliamali . Kama huja apply mpaka Dakika hii sahauuuu kupata chance Mwakahuu.

Hahahahah asahauu kupataa ausioo hahahahah
 
Eti wakuu kati ya hizo Mbili ipi ni Nzuri kwa kuisoma..

Kasome lab techn ipoo vizurii kwa uhitajii mkubwaa sanaa kulikoo hatahaoo watu wa pharmacy uliza na uhitajii kwenye health settings sio unajisomea tuu kaka
 
Weka Kama Unafahamu

Kama internalship mtu analipwa 710,000/= na ni asilimia 80% ya mshahara kamili unadhani 100% itakua laki nne!??

Alaf saivi mfumo umebadilishwa i mean MD, BMLS, BPHRM, zote zitasomwa kwa muda wa miaka 5 na salary scale yao itakua sawa... Na hamna medical personel kuanzia level ya diploma anaechukua chini ya laki tano..labda awe ana makato ya mikopo ya benki mkuu..
 
umesomeka mkuu
 
Eeh huo utaratibi una anza kutumika kuanzia mda gani mkuu..,???
 
Next season... Yaan watao anza hao mwaka wa kwanza
 
Back
Top Bottom