Pharmaceutical Techinician ninatafuta kazi kwa jasho na damu

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
3,978
Reaction score
9,841
hali ni tete wadau halimanusra nijute kuzaliwa mtoto wa kiume!

naitwa torvic

jinsia ni mwanaume

nimesoma Diploma in Pharmaceutical Science

nina leseni ya baraza la famasi inahitaji ku re-new

uzoefu wa kazi upo kwa mwaka angalau

naishi Dar, (kazi ikipatikana dar itafaa zaidi)

ninauhitaji mkubwaa sana wa kazi kwani hali yangu kiuchumi inaniogopesha kwa sasa.

mawasiliano; 0747182280
 


Umeomba za Wizara ya Afya na TAMISEMI??
 
Kila la kheri champ
Tafuta kazi iwe kivumbi na Jasho kama Utopwinyo
 
Morogoro je? Jibu alaka au njoo pm, Kama kweli umuhitaji, nikuunganishe sehemu, Kama week walikuwa wanataka watu kumi.
 
Shida nyingine huwa mnapenda kazi mpate mkiwa hapohapo Dar.. sasa endelea kusubir kazi hio hapo daslamuu
 
Shida nyingine huwa mnapenda kazi mpate mkiwa hapohapo Dar.. sasa endelea kusubir kazi hio hapo daslamuu
kufanya kazi hapahapa dar sio kwa mapenzi yangu, ingekuwa ndani ya uwezo wangu ningeenda popote
 
Kama utahitaji songea mjini,ipo famasi inafunguliwa ni mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…