Wanachoma mitaani hukoDuka la dawa wanaruhusiwa kuchoma sindano?
Acha kuwachomesha wenzako bwasheeDuka la dawa wanaruhusiwa kuchoma sindano?
Nashangaa hapa na mie.Duka la dawa wanaruhusiwa kuchoma sindano?
Kijijini kwetu huwa tunawaita madokta.Na ukumbuke;Wanachoma wagonjwa "shindano za malalia"!Acha kuwachomesha wenzako bwashee
ππππKijijini kwetu huwa tunawaita madokta.Na ukumbuke;Wanachoma wagonjwa "shindano za malalia"!
huyo raia anaekubali kuchomwa sindano kwenye duka la dawa hajali usalama wa afya yake. Wote mchomaji na mteja wote hawana akili.Wanachoma mitaani huko
Kwa akili za kibinadamu atakuwa amekuchukia sana.Kwa vijijini hata hao wenye Elimu husika hawatakiwi,
Walioshia la 7 ndo wanaotakiwa, maduka ya dawa wengi wako makanjanja tyuuh.
Kunae m1 nilimstukia, nilimchana wazi, aache upuuzi ktk uhai na maisha ya wengine.
Lol
Kuna kipindi mtu akiwa mgonjwa na uzuzu humpata.Anapelekeshwa tu.huyo raia anaekubali kuchomwa sindano kwenye duka la dawa hajali usalama wa afya yake. Wote mchomaji na mteja wote hawana akili.
Ni kweli, alimuambia had shangazi kuwa mie mkorofi,Kwa akili za kibinadamu atakuwa amekuchukia sana.