Pharmacy UDOM naomba kufahamishwa

Pharmacy UDOM naomba kufahamishwa

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Naomba kufahamu simple basics za pharmacy ifundishwayo UDOM, je, soko lake la ajira limekaaje? Kuna degree au diploma? Ni kozi zipi hufundishwa ktk diploma ya pharmacy?
Nini hasa hufundishwa ktk kozi hii. Maisha kwa ujumla wakati wa kusoma yakoje hapo UDOM?
Kuna kijana kanibana na anataka kuja kusomea hapo, naomba tafadhari ushauri zaidi as net sijapata msaada saana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwa nijuavyo mimi,UDOM kuna diploma pekee ila degree yake haipo

Ile ni kozi ya afya,soko lake halitetereki labda watu waache kuugua

Waliopo hapo watakuja kutueleza hayo mengine,but kimsingi wafamasia wanasoma madawa kwa upana wake
 
UDOM maisha yako njema, nimesoma hapo japo sijui kuhusu hiyo kozi maana nilikuwa Education. Kasome wala usiwe na wasi wasi.
 
Nimewapata wakuu! Vipi accomodations za diploma, zipo sawa na za degree I mean, wana share campus?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
kuhusu accomodation yaan udom hakuna tatizo, kuna hostel zinakosa watu, tena watu wa Tiba collage yao ipo porini uspime, uko hakuna starehe ni kusoma tu
 
Back
Top Bottom