title yako umeuliza pharmacy vs MD,ndani unaongelea diploma pharmacy vs clinic officer, ebu rekebisha apo.
angalia kitu unachopenda zaidi,kiufupi kozi zote ni nzuri,kuhusu ipi inatoa kimaisha, kufanikiwa kimaisha inategemea wewe mwenyewe ubunifu juhudi na umakini wako.