mie nakushauri usome coz unayoipenda; zote ukizifanya vizuri utakuwa vizuri, malengo yako yawe kuisaidia jamii inayokuzunguka, mengine utayapata tu kulingana na wakati!
zote ni shaaaah!bt MD naikubali sana mi nmepata B f pharmacy so nkimaliza masters itabd nichukue inayohusiana na udaktar....u love me pharmacy bt MD does most...
Kwanza umekosea title. Rekebisha. MD ni Doctor of Medicine.....
Sasa mie niko katika field hiyo kwa miaka 18 sasa.
Kutoka kimaisha ni akili yako. Inategemea vision yako na mikakati ya kufikia vision yako.
Kuna wanaofuga nyuki wametoka kimaisha na kuna madaktari wako masikini wa kutupwa..
Nakushauri ungekuwa pia unasoma vitabu vya kuku inspire
mi nipo pharmacy jaman bt great appliciation to MD bt all ar highly paying its only ur vission on how to create legal aproaches ili utoke kimaisha sio kukalia ulevi tu.....i love u pharmacy bt u love me most...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.