PhD/Doctorate ya huyu Mwanasiasa na Mteule wa Rais hadi leo inanipa Mashaka mno kuiamini na kuielewa

PhD/Doctorate ya huyu Mwanasiasa na Mteule wa Rais hadi leo inanipa Mashaka mno kuiamini na kuielewa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
" Ukiwa huna elimu na wewe ni mwigizaji unataka kukosoa utakosoa hovyo hovyo, sijawashawishi wasanii waimbe nyimbo za CCM mimi nilisisitiza kuhusu elimu "-Dk.Mwakyembe.

Nipashe

Na kinachoniuma zaidi ni Mwana Simba Sports Club Mwenzangu mzuri lakini pia alishawahi kuwa Mwana Fani Mwenzangu miaka ya nyuma huko.
 
du aliyeelewa aniambie na mimi maana ya hii sentesi sijaambulia kitu

Na ndiyo maana nimeihoji na pia nina ' Mashaka ' makubwa tu na PhD / Doctorate yake au na hata hicho Chuo Kikuu alichoipatia huko Ujerumani.
 
Dongo kwa msanii aliekimbilia USA ,Roman Catolic
 
Dongo kwa msanii aliekimbilia USA ,Roman Catolic

Una maoni gani kuhusu Kichwa chenye ' PhD / Doctorate ' ambacho kimetoa hilo unaloliita ' Dongo ' Mkuu? Nasubiria sana Mrejesho wako Mkuu.
 
Back
Top Bottom