GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
du aliyeelewa aniambie na mimi maana ya hii sentesi sijaambulia kitu
Natamani ningeelewa
Dongo kwa msanii aliekimbilia USA ,Roman Catolic
mkuu ungemtaja tumana bado kabisaNa ndiyo maana nimeihoji na pia nina ' Mashaka ' makubwa tu na PhD / Doctorate yake au na hata hicho Chuo Kikuu alichoipatia huko Ujerumani.