Wakuu wa kazi, juzi Chuo Kikuu cha Mzumbe walikaririwa na vyombo vya habari wakimtunuka Emmanuel Nchimbi PhD. Ieleweke kuwa kwa muda mrefu huyu jamaa amekuwa akiitwa Daktari kumbe hana PhD. Kama hali imefikia hivi hatuoni kuwa Tanzania tumefika kubaya? Mtu anajiita Dkt wakati he doesnt have such qualification. Na hata kama Mzumbe wamempa hii PhD tuambiwe amesoma saa ngapi?
Hiyo thesis imefanywa na nani kwa sababu ndi ngumu sana kubalance between masomo na siasa, especially being a minister. I doubt universities zetu hizi, zinachangia kuzalisha wasomi feki. The top most three in fake phd are UDOM, UDSM and MZUMBE. Hii ni embarrassment kwa jamii ya wasomi kutoa degree zisizofanyiwa kazi.
Hatuwezi kufika huko tunakotaka kama hali yetu ndiyo hii. Maana tumefikia upumbavu wa hali ya juu kwa kujidanganya kuwa tuna wasomi kumbe sifa haziendani na kisomo cha mtu. Huu ni ufisadi wa aina ya pekee.
Wanasiasa wanaweza kupata PhD ki rahisi hivi!