Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,620
The top most three in fake phd are UDOM, UDSM and MZUMBE. Hii ni embarassment kwa jamii ya wasomi kutoa degree zisizofanyiwa kazi.
... Hapa ndo nakuona huna lolote, bali majungu yamekujaa. Imekuwa kawaida sasa kwa BAADHI ya waliosoma nje kukebehi wenzao waliosoma vyuo vya ndani. Huu ni unafiki maana reputation ya chuo haiweki maarifa kichwani mwa mwanafunzi-ni juhudi binafsi ndizo zinampa mtu maarifa. Hata ukisoma MIT, kama wewe ni kilaza utakuwa kilaza tu. Ni kweli kwamba vyuo vya nje ni bora sana kuliko vyetu, hasa upande wa teknologia, lakini tukitaka kulinganisha wanafunzi, lazima tutumie kipimo ambacho ni Universal-mfano papers ktk reputable international journals. Wewe uliyesoma nje umeandika paper yoyote?
Kuna watu wamesoma vyuo vyetu hivi hivi (tena digrii zote tatu) na wanafanya kazi zinazokubalika kimataifa. Tuache dharau!