[emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee, muambie huyo anae kuficha apunguze bas, kuna wengine pia nje wanatak uwepo wako.[emoji16][emoji16][emoji16]mimerudi mtu wangu ,nilipotezwa kidogo [emoji13]
Kanikinai sahivi ndiyo maana kaniachia nihangaike kila kona [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee, muambie huyo anae kuficha apunguze bas, kuna wengine pia nje wanatak uwepo wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu baba ameniacha hoi saan, yaan alivokua anawachamba na kuwatukana wasomi wazi wazi, ile siku kamchamba Prof Ndalichako bungeni tena kwa maneno mazito na ya fedheha nlijisikia vibaya sana. Kumbe naye eti usomi anautaka.Wanatudanganya na elimu kutaka kuidanganya umma, je mahitaji ya wananchi wanatimizaje kama sio longo longo tu hawa jama kila kitu fakeroooo [emoji13]
Machinga alitaka kutambulika kama masomi.Joho la kuchonga aka mti mti😅
Msukuma kajitwicha kofia ya ujinga kichwaniiiWachunguzi wanadai kwamba eti Chuo hicho kiko India na kwamba kina matawi yake Uingereza na Marekani bali uchunguzi unaonyesha kwamba hakijawahi kusajiliwa Uingereza wala Marekani na wala hakipo huko.
Kingine ambacho wachunguzi wamekifuatilia ni vigezo ambavyo vimezingatiwa ili kumpa heshima hiyo Musukuma, yadaiwa ni mchongo mwanzo mwisho.
Baba Askofu Bagonza amenukuliwa kwamba aliombwa dola 500 na chuo hicho ili aingizwe kwenye mchakato wa watakaopewa PhD hiyo na hicho chuo cha Musukuma ila yeye akagoma na akawaambia wahusika kwamba anazo ofa kadhaa kutoka kwenye vyuo vikubwa duniani vinavyomuomba akubali kupewa PhD za heshima, tena kwa vyuo vyenyewe kumlipa hadi USD Elfu 10, siyo kwa yeye kuvilipa vyuo kama chuo cha Musukuma kinavyodai.
Swali ni hili, ni nani anafaidika na vyuo vya uongo kama hiki cha Musukuma na ili iweje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, kuna sehemu umekwama ndo maan kakuachia uzurure,Kanikinai sahivi ndiyo maana kaniachia nihangaike kila kona [emoji16][emoji16]
Nilijiulizaga awali kuwa walimpatia huo PHD wa heshima waitumia vigezo gani kuntu kumbe ni mambo ya kununua na kudanga raia,hakuna uongo usio na mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu baba ameniacha hoi saan, yaan alivokua anawachamba na kuwatukana wasomi wazi wazi, ile siku kamchamba Prof Ndalichako bungeni tena kwa maneno mazito na ya fedheha nlijisikia vibaya sana. Kumbe naye eti usomi anautaka.
Daaah hataree sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Miezi miwili sio mchezo ana kila sababu kunikinai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],sikwami eti mpaka kieleweke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, kuna sehemu umekwama ndo maan kakuachia uzurure,
Mkuu nikumbushe chuo kilicho mzawadia huyo Dr hiyo PhDTofautisha juho la Jana wakati anabatizwa udakitari na joho wakati wako kwenye vikao vya madiwani Nzera.
View attachment 2034724
Hakuna namnaKama Msukuma atapewahio PhD ya mti mti mie siwezi enda poteza mda kuandaa machapisho! Wacha niandae dollar 500 tu😅!!!
Kwa hali hii atakayesema pesa sio kila kitu ntamzabua makofi akaseme kituo chochote cha polisi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miezi miwili mlikua mnataka mfanane hadi utumbo mwembamba? KhaaaaahMiezi miwili sio mchezo ana kila sababu kunikinai [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],sikwami eti mpaka kieleweke
[emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] miezi miwili mlikua mnataka mfanane hadi utumbo mwembamba? Khaaaaah
Wivu wa nini wananchi tunao,tunaweka rekodi sawa asiongope umma na kuwakashifu wenye phd za ukweliNi wivu tu
Wakikujibu unitag, udokta wa viongozi wengi wa Nchi hii ni wa Mchongo. Ndo maana ukianza kuhoji kama hivi awamu iliyopita unapotezwa. RIP BEN.Kwani ina tofauti gani na ya Jaffo?
DuhWakikujibu unitag, udokta wa viongozi wengi wa Nchi hii ni wa Mchongo. Ndo maana ukianza kuhoji kama hivi awamu iliyopita unapotezwa. RIP BEN.
Tunao wazee wenye hekima wengi tu wanaishi huko vijijini na ambao hawajui kusoma wala kuandika, lakini baadhi yao walistahili kutunukiwa PhD za heshima. Tatizo lililopo tu ni kwamba hawako kwenye mfumo rasmi unaowawezesha kupata PhD hizo. Ieleweke wazi kuwa PhD ya heshima ni PhD ya heshima, siyo PhD ya kuhangaika na nondo kali kali darasaniAisee wanasiasa mnakatisha watu tamaa ya kusoma bhana, watu wanahangaika kusoma kwa taabu wanakesha usiku, Kuna wengine Familia zinauza Mali za ukoo ili kijana asome, wengine wa nashindwa kumaliza kwa kukosa Ada na wengine wanashindwa kwa kufeli mitihani(discontinuation).
Masikini ya Mungu na wengine watoto wa kike mpaka wanauza utu wao kwa waalimu wao kwa kutoa rushwa ya ngono, halafu huku nyie yaani mnapeanapeana tu, eti mara Degree ya heshima, mara PhD ya heshima, acheni mzaha na elimu jamani, Elimu ni IBADA.