PHD ya ukungwi inavyodhalilisha wanaume!

Retina

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
1,039
Reaction score
1,163
Nimeamka alfajir kufuatilia mchongo town, mambo yamekuwa magumu mno.

Baada ya kutofanikiwa, huku nikiwa nimeahidi mambo mazuri nyumbani, nimekumbuka maneno ya jamaa mwenye PhD ya ukungwi; daah yameniuma.
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ nacheka kama mazuri hivi... kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ