R Retina JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 1,039 Reaction score 1,163 May 27, 2020 #1 Nimeamka alfajir kufuatilia mchongo town, mambo yamekuwa magumu mno. Baada ya kutofanikiwa, huku nikiwa nimeahidi mambo mazuri nyumbani, nimekumbuka maneno ya jamaa mwenye PhD ya ukungwi; daah yameniuma.
Nimeamka alfajir kufuatilia mchongo town, mambo yamekuwa magumu mno. Baada ya kutofanikiwa, huku nikiwa nimeahidi mambo mazuri nyumbani, nimekumbuka maneno ya jamaa mwenye PhD ya ukungwi; daah yameniuma.
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,272 May 28, 2020 #2 😄😄 nacheka kama mazuri hivi... kumbe
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 May 28, 2020 #3 Christopher Mauki aka tofa😀😆