PhD YENYE HESHIMA

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
UTAFITI ULIOFANYIKA UNAONEKANA PhD YA SHERIA YAANI LL,D (LATIN LEGUM DOCTOR) NDIYO YENYE HESHIMA KULIKO ZOTE DUNIANI HII IMETOKANA NA JINSI INAVYOPATIKANA NA KAZI YA SHERIA ILIVYOKUWA NYETI SANA KATIKA JAMII MAMBO YOTE DUNIANI HAYATAWEZA KWENDA BILA YA KUWAPO HII TAALUMA
 
TAALUMA KAMA SOCIOLOGY AU HUMAN RESOURCE HATA UWE NA PhD NI SAWA NA DEGREE MOJA YA SHERIA AU ENGINEERING
 
Afu we mngese sn!iv umerogwa na nan we mbulula,badala ya kupost critical arguements,we unadhan humu n klnge cha bang?!aaaaaargh!
 

mpigamsuli Are you a lawyer? where have you graduated? what do you mean in red? Poor thinking...
 

kujua kusoma na kuandika vizuri pia ni heshima tena kubwa tu.
 
Mkuu hiki kilaza ni kile kilichokua kinashinda sana jukwaa la Elimu kipindi kinasubiri post za Kwenda Chuo...sasa hivi kinaingia mwaka wa Pili.....msamehee bure...
 
hahaha, huyu chizi kweli ......... hebu tutafute hao pHD holder tuone hizo heshima zao.... kwanza unajua hao madokta wenyewe wa LAW wangapi hata wana hizo nobel prize(kwangu naichukulia kitu muhimu katika jamii) hahahaahahh
 
Dogo kila siku kelele za Law na wanasheria mtu mwenyewe kumbe unasoma Muccobs? Dah. No wonder nilikuwa nashangaa mwanataaluma gani aliyefuzu hujitukuza? Kumbe mwenzetu wafunzwa na ma TA na wajisifu kabisa?
 
mpigamsuli :director:uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo, POLE SANA
 
Last edited by a moderator:

Kaichukue! au unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…