PhD YENYE HESHIMA

PhD YENYE HESHIMA

Katika usomi, kuna kuelimika, kufikiri, kupambanua na kupembua vitu kwa umakini na kisha kutoa maoni yako bila kuonyesha ushabiki bali kutoa hoja ...mleta thread nashindwa kuelewa kama Ulifanya huo utafiti wewe au mwingine, na kama mwingine ndiye aliyeufanya yako wapi majibu ya utafiti huo lakini zaidi tunaweza kuuthibitishaje?

Pili, kushabikia (kung'ang'ania mada bila hoja) ni kutokuwa kimawazo, kielimu pia.
 
Afu we mngese sn!iv umerogwa na nan we mbulula,badala ya kupost critical arguements,we unadhan humu n klnge cha bang?!aaaaaargh!

Mbona unatokwa na mapovu kama ya puff?....au umesomea BAED?......Ukweli unabaki pale pale. Kichwa kimoja cha Law, ni sawa na vichwa 50 vya PSPA, Sociology, hiyo BAED yako nk.
 
mpigamsuli Are you a lawyer? where have you graduated? what do you mean in red? Poor thinking...

Kwa taarifa yako kila jambo duniani lazima liwekewe na lina principle na regulations. Law is all about regulations and principles. Law defines duties and rights.....Kama unabisha nijatajie jambo lolote duniani lisilo na regulation na principle
 
Phd Kali ni ya Mining engineering,Law ni kama phd ya Business,ila all in all pesa ndio mpango mzima uwe na law or sociology what matters is your cash.
 
UTAFITI ULIOFANYIKA UNAONEKANA PhD YA SHERIA YAANI LL,D (LATIN LEGUM DOCTOR) NDIYO YENYE HESHIMA KULIKO ZOTE DUNIANI HII IMETOKANA NA JINSI INAVYOPATIKANA NA KAZI YA SHERIA ILIVYOKUWA NYETI SANA KATIKA JAMII MAMBO YOTE DUNIANI HAYATAWEZA KWENDA BILA YA KUWAPO HII TAALUMA

kwani inapatikana vipi? Hivi mgonjwa akipelekwa kwa notary public, commissioner of oath, advocate, justice, jury, prosecutor atatoka amepona au ametibiwa?
 
my learned colleagues.....................
baadhi hawa watu huwa wanajisikia sana, sijui kwanini tu?
 
yaani hapa ndipo ninapochoka kabisaa na hawa wasomi wetu.

Hivi hebu nenda kagoogle PhS uniambie duniani ni watu wangapi wenye hii kitu?? kisha uje uniambie ubora unaousema wewe wa hiyo LL.D
 
Mbona unatokwa na mapovu kama ya puff?....au umesomea BAED?......Ukweli unabaki pale pale. Kichwa kimoja cha Law, ni sawa na vichwa 50 vya PSPA, Sociology, hiyo BAED yako nk.

HA ha ha ha
 
hivi we mtoa uzi unaijua phd ya udaktari? nenda kafanye utafiti vizuri. mi sio daktari ila natoa saluti kwa wenye phd za udaktari
 
Mbona unatokwa na mapovu kama ya puff?....au umesomea BAED?......Ukweli unabaki pale pale. Kichwa kimoja cha Law, ni sawa na vichwa 50 vya PSPA, Sociology, hiyo BAED yako nk.

Mawazo ya kipumbavu kabisa.Kama wewe ni graduate hukustahili kbs kupewa hata ka-degree kako.Ungekuwa unatumia identity ya ukweli ningeshauri chuo chako wakunyang'anye.
 
UTAFITI ULIOFANYIKA UNAONEKANA PhD YA SHERIA YAANI LL,D (LATIN LEGUM DOCTOR) NDIYO YENYE HESHIMA KULIKO ZOTE DUNIANI HII IMETOKANA NA JINSI INAVYOPATIKANA NA KAZI YA SHERIA ILIVYOKUWA NYETI SANA KATIKA JAMII MAMBO YOTE DUNIANI HAYATAWEZA KWENDA BILA YA KUWAPO HII TAALUMA

Mkuu humo kwenye red blood cells nakataa kabisa.
Jibu lake ni kwamba: Mambo yote duniani hayataweza kwenda kwa binafsi yako pindi utakapozima na kupotea katika sayari hii a.k.a ku-dead.
Tafakari, Chukua hatua.
 
Afu we mngese sn!iv umerogwa na nan we mbulula,badala ya kupost critical arguements,we unadhan humu n klnge cha bang?!aaaaaargh!

mkuu kila mtu akitumia hiyo lugha uliyotumia humu unadhani hili jukwaa litaitwaje?
Great Thinkers?
Unajua kuna wazee wako humu wanafatilia nyuzi moja baada ya nyingine. Unadhani wanajisikiaje wakisoma hizi lugha zako?
Is it fair?
 
sisimizi akipanda tembo anajua tembo ndio ukubwa wa dunia nzima
 
kila degree ni ya kuheshimiwa. mpigamsuli je unajua nchi yetu ina watu watatu tu wenye PhD ya Nuclear Physics na mmoja wa hao watu ni makamu wa rais Dk.Bilal?
 
Unaleta hadithi za kilo moja ya Mahindi ni nzito kuliko kilo ya Manyoya... poor you!
 
mleta mada lazima ana tatizo la kisaikolojia linamsumbua
 
UTAFITI ULIOFANYIKA UNAONEKANA PhD YA SHERIA YAANI LL,D (LATIN LEGUM DOCTOR) NDIYO YENYE HESHIMA KULIKO ZOTE DUNIANI HII IMETOKANA NA JINSI INAVYOPATIKANA NA KAZI YA SHERIA ILIVYOKUWA NYETI SANA KATIKA JAMII MAMBO YOTE DUNIANI HAYATAWEZA KWENDA BILA YA KUWAPO HII TAALUMA

Nakumbuka hadithi moja ya viungo vya mwili kushindana nani wa muhimu zaidi. Zaidi sisemi ila mwili si kidole au macho. Same applies kwa hayo masomo.
 
Mawazo ya kipumbavu kabisa.Kama wewe ni graduate hukustahili kbs kupewa hata ka-degree kako.Ungekuwa unatumia identity ya ukweli ningeshauri chuo chako wakunyang'anye.

unabisha nini hapo?
 
UTAFITI ULIOFANYIKA UNAONEKANA PhD YA SHERIA YAANI LL,D (LATIN LEGUM DOCTOR) NDIYO YENYE HESHIMA KULIKO ZOTE DUNIANI HII IMETOKANA NA JINSI INAVYOPATIKANA NA KAZI YA SHERIA ILIVYOKUWA NYETI SANA KATIKA JAMII MAMBO YOTE DUNIANI HAYATAWEZA KWENDA BILA YA KUWAPO HII TAALUMA

Mzee mi sina PhD lakini naziheshimu na ninaziogopa mno, zote. Kumbe kuna nyingine iko juu zaidi ya zote?Halafu kuna watu wawili tu hapa Tanzania wao wamefanikiwa kuchukua PhD za sayansi ambazo hakuna mtu mwingine aliyenazo (kila mtu kwenye field tofauti na mwenzake), je hawa jamaa utasemaje kuhusu hizo PhD zao? Jitahidi tu angalau uwafahamu
 
Back
Top Bottom