PhD za kusomea zimeiletea nchi kitu gani?

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
1. Hizo PhD za kusomea zimeleta maajabu kwenye Uchumi, Jamii ya ki-Tanzania? Nchi hii tuliwahi kuwa Na Waziri wa Mambo ya Nje baadae Katiba na Sheria (PhD holder) alifuata Dawa za Mitishamba (feki) na ndege (full-paid) Madagscar.
2. Sasa mnaipamba PhD utadhani wenye nazo wanajielewa.?
 

Attachments

  • download (17).jpeg
    9.1 KB · Views: 6
  • download (16).jpeg
    7.8 KB · Views: 6
 
Kama ile ya Lipumba jameni. Hivi inafaida gani kwa nchi? Lipumba si aende pale UDSM akafundishe. Aache kuaibisha PhD ya darasani
 
Umeuliza swali/maswali bila kutambua unathibitisha kuwa PhD ni muhimu...

Mwenye PhD halali hawezi kufikiri lowly kama wewe
 
Zimetuletea mafisadi waliojazana kwenye ofisi za umma with zero contribution to our national development.
 
Mfano PhD ya bwana tulia mbunge wa Mbeya mjini ina tija gani kwa faida ?
 
Wataalamu wengi waliopo serikalini wanaotunga sera nk,wamefundishwa na hao wenye PHD!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…