PhD za kusomea zimeiletea nchi kitu gani?

PhD za kusomea zimeiletea nchi kitu gani?

Wataalamu wengi waliopo serikalini wanaotunga sera nk,wamefundishwa na hao wenye PHD!
Hapa ni kama unathibitisha kuwa ni kweli PhD hazina maana. Maana hao wataalamu ni uozo,ndio wanatumaliza huko serikalini.Kwahiyo, PhD zina walakini.
 
Unadhani hizi za heshima zitaongeza kitu kwenye taifa?Mimi nadhan inshu ya PHD tungechukua mfumo wa marekani , kuitwa Profesa au DKt (PhD) wangeitwa watu wanaofanya kazi vyuoni au taasisi za utafiti wengine wote wangeitwa majina yao halisi hata kama una elimu hiyo inabaki kwenye CV
 
Hasara tupu ,mikataba yote ya wizi waliosaini ni Maprofesa na Phd holder.
 
Mjadala wa waganga
wa heshima (PhD za heshima)ulianzia hapa👇👇👇
 
Pengine kabla ya kutoa hukumu ya jumla kwa kundi zima la wasomi wenye tuzo za udaktari wa falsafa hapa nchini, ama lile kundi lingine la watunukiwa wa tuzo hizo kupitia kutambulika kwa michango yao katika jamii, ni vyema tukaepuka makosa ya kimtazamo kwa kumlinganisha mtu mmoja mmoja ama baadhi yao, na mtu mwingine, na kisha kuhalalisha kuwa ndiyo ni mapungufu ya kundi zima.

Kuna elimu nzuri tunaweza kuipata katika somo la "Organization Behaviors" ambalo linatufundisha kuhusu mapungufu ya kile tunachokiona, kukisoma, kukisikia, kukiamini ama pia hata kuaminishwa.

Ili kukwepa kupoteza maana sahihi ya kimaudhui na kimantiki iliyokusudiwa, pengine nifanye nukuu hii hapa chini katika desa mojawapo linalohusiana na makosa kama hayo ya kimtazamo kuhusu PhD kama vile ifuatavyo,

A perceptual error is the inability to judge humans, things or situations fairly and accurately. Examples could include such things as bias, prejudice, stereotyping, which have always caused human beings to err in different aspects of their lives.

There are many types of perceptual errors in workplace

1.Selective Perception-People generally interpret according to their basis of interests,idea and backgrounds.

2.Halo Effect-We
misjudge people by concentrating on one single behavior or trait

3.Stereotypes-We always have a tendency to classify people to a general groups/categories in order to simplify the matter.

4.Contrast Effect-We sometimes judge people in comparison to others

5.Projection of one's own attitude,personality or behavior into some other person.

6.Impression-We all know the term "first impression is the last impression" and we apply that too
Think crically my friend ,everything in life is a risk, learn to think critically, independent thoughts without using others thinking from books. inability to process information effectively. people go to through their entire life learning how to have others ideas and not their own ideas. our job is to memorize how someone how thinks
 
Wataalamu wengi waliopo serikalini wanaotunga sera nk,wamefundishwa na hao wenye PHD!
Good point. Kuna watu wengi wanafikiri PhD Ni mchezo. Kama ni rahisi hivyo mbona hawafanyi. Matatizo mengi ya PhD holders wa Bongo ni njaa tu kwa kuwa serikali haiwalipi vizuri. Hawa hawa wanaoponda wamefundishwa na hizo hizo PhD..... Hao akina Msukuma na Teletele wait we siku moja watoe Public Lecture tuone.
 
Back
Top Bottom