Chuo ni miaka Sasa wanatoa PHD Sasa huu utawala wa mama mnaanza kuchokonoa vyuo vya Kanisa.Umeulizwa Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge wewe unaleta habari ya Muslim University of Morogoro
Kata Yako mna chuo nilete mwanangu.Nina vijana waliotoka hapo ofisini kwetu ukiacha mambo mengine upstairs wako vizuri na kazi wanajua.Chuo cha Kata hiko
Kwa nini usimshangae king msukuma std. 7 mwenye PhD.....Dharau Ni dhambi kubwa sana .
Cheti Cha form four una four then unataka Phd?
Akikuona dr biteko anakuloga. Kwenye darasa letu pale sengerema walipata four watatu akiwemo daktari wa udom doto. Leo mdau ndiye tajiri na mwenyd madaraka kuzd wote.Dharau Ni dhambi kubwa sana .
Cheti Cha form four una four then unataka Phd?
Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Hili nayo nendeni mkalitizameAkikuona dr biteko anakuloga. Kwenye darasa letu pale sengerema walipata four watatu akiwemo daktari wa udom doto. Leo mdau ndiye tajiri na mwenyd madaraka kuzd wote.
NASISITIZA, SITAMSHAURI MTU KUSOMA, NITAMSHAUR KUSAKA PESA KWA NJIA AWEZAYO.
Chama cha walimu kinauliza masuala ya Phd🤣Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Njia niwezayo kusaka pesa ni kupita kusoma.NASISITIZA, SITAMSHAURI MTU KUSOMA, NITAMSHAUR KUSAKA PESA KWA NJIA AWEZAYO.
Jamal1967. Swali lako linawalakini sana!Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Chuo ni accredited na tcu na kiko approved kutoa phd kwenye masomo kadha. Na phd zote hupelekwa kwa external examiners for examination. Hivyo zinatambulika na ukitaka nenda kapinde mgongo na sio kuokota.Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
nimeuliza hivyo baada ya ndugu aliyesoma hapo PhD kukataliwa hiyo PhD alipoomba kazi SUA, japo ana masters ya SUA, samahani kama nimewaudhibwadau wa chuo husika Ila ukweli unaumaChuo ni accredited na tcu na kiko approved kutoa phd kwenye masomo kadha. Na phd zote hupelekwa kwa external examiners for examination. Hivyo zinatambulika na ukitaka nenda kapinde mgongo na sio kuokota.
Huyo ndugu alisoma phd katika nyanja gani na sua aliomba kazi gani?nimeuliza hivyo baada ya ndugu aliyesoma hapo PhD kukataliwa hiyo PhD alipoomba kazi SUA, japo ana masters ya SUA, samahani kama nimewaudhibwadau wa chuo husika Ila ukweli unauma
Inategemea na eneo ulilojikita maana fursa zipo nyingi tu depend on your innovation and creativity,mialiko ya nje ya nchi utapata nyingi, kama ulikuwa smart na ukaangalia upepo wa dunia unataka nini.Tatizo hiyo PhD huwezi kupata kazi vyuo makini (SUA, UDSM, Muhimbili, Ardhi, NMAIST, MUCCOBS) labda ubaki huko huko parokiani
jambo usilolijua ni kuwa private sectors ndio zinaongoza dunia kiuchumi,nilikuwa napitia nchi ya china Ph.D graduates Kwa 2019 ni 49,498 kwenye STEM field pekee huku U.S wakiwa 33k (forbes) out put yake ni economy stimulation through research,innovation,and creativity.Jordan Moro nao wameanza kufyatua PhD. Sifa za Kuwa Professor Ni rahisi Kama kuwa admin wa WhatsApp group. Tunakwenda wapi?
Mbona kwenye vyuo hivyo watu kutoka Mwenge wamaajiriwa na wanafanya kazi with great outcomesTatizo hiyo PhD huwezi kupata kazi vyuo makini (SUA, UDSM, Muhimbili, Ardhi, NMAIST, MUCCOBS) labda ubaki huko huko parokiani
Unaishi kwa kudhania kwenye ulimwengu wa leo, sidhani kama mnyororo wa kupata PhD unaujua vizuri kwani usingeongea maneno kama hayo... Waulize walionapata hizo PhD kwamba michakato ya kupata PhD ikoje ili ujue Mwenge wanatoa wataalamu kweli kweliTatizo hiyo PhD huwezi kupata kazi vyuo makini (SUA, UDSM, Muhimbili, Ardhi, NMAIST, MUCCOBS) labda ubaki huko huko parokiani
PhD ya Mwenge University au Jordan kazi serikalin hupatiUnaishi kwa kudhania kwenye ulimwengu wa leo, sidhani kama mnyororo wa kupata PhD unaujua vizuri kwani usingeongea maneno kama hayo... Waulize walionapata hizo PhD kwamba michakato ya kupata PhD ikoje ili ujue Mwenge wanatoa wataalamu kweli kweli