PhD za Mwenge University zinatambulika wapi?

Hicho
Umeulizwa Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge wewe unaleta habari ya Muslim University of Morogoro
Chuo ni miaka Sasa wanatoa PHD Sasa huu utawala wa mama mnaanza kuchokonoa vyuo vya Kanisa.
 
Dharau Ni dhambi kubwa sana .

Cheti Cha form four una four then unataka Phd?
Akikuona dr biteko anakuloga. Kwenye darasa letu pale sengerema walipata four watatu akiwemo daktari wa udom doto. Leo mdau ndiye tajiri na mwenyd madaraka kuzd wote.

NASISITIZA, SITAMSHAURI MTU KUSOMA, NITAMSHAUR KUSAKA PESA KWA NJIA AWEZAYO.
 
Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
 
Attachments

  • 74CDD70A-CDD9-4B15-B753-FA4F20189070.jpeg
    74CDD70A-CDD9-4B15-B753-FA4F20189070.jpeg
    77.1 KB · Views: 23
Akikuona dr biteko anakuloga. Kwenye darasa letu pale sengerema walipata four watatu akiwemo daktari wa udom doto. Leo mdau ndiye tajiri na mwenyd madaraka kuzd wote.

NASISITIZA, SITAMSHAURI MTU KUSOMA, NITAMSHAUR KUSAKA PESA KWA NJIA AWEZAYO.
Hili nayo nendeni mkalitizame
 
Kama TCU wameruhusu huna mamlaka ya kuhoji, mind your own business.
 
Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Chama cha walimu kinauliza masuala ya Phd🤣
 
Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Jamal1967. Swali lako linawalakini sana!
1. Chuo chochote hakiwezi kutoa PhD programs kama hakitambuliki serikalin katika Wizara au Mamlaka za usimamizi wa Elimu.

2. Swala la kutambulika, ungetoa mfano kutambulika wapi? Eg ukisema PhD za SUA zinatambulika wapi (taja sehemu zinazotambulika) na Je hizi za mwenge ulitaka zitambulike wapi!?

3. Naamini swali lako lina fumbo ndani yake na hasa (unaonwsha kudharau) PhD programs zinazotolewa hapo.
 
Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Chuo ni accredited na tcu na kiko approved kutoa phd kwenye masomo kadha. Na phd zote hupelekwa kwa external examiners for examination. Hivyo zinatambulika na ukitaka nenda kapinde mgongo na sio kuokota.
 
nimeuliza hivyo baada ya ndugu aliyesoma hapo PhD kukataliwa hiyo PhD alipoomba kazi SUA, japo ana masters ya SUA, samahani kama nimewaudhibwadau wa chuo husika Ila ukweli unauma
 
Huyo ndugu alisoma phd katika nyanja gani na sua aliomba kazi gani?
 
Kama TCU wameruhusu huna mamlaka ya kuhoji, mind your own business.
Tatizo hiyo PhD huwezi kupata kazi vyuo makini (SUA, UDSM, Muhimbili, Ardhi, NMAIST, MUCCOBS) labda ubaki huko huko parokiani
 
Inategemea na eneo ulilojikita maana fursa zipo nyingi tu depend on your innovation and creativity,mialiko ya nje ya nchi utapata nyingi, kama ulikuwa smart na ukaangalia upepo wa dunia unataka nini.
~vyuo tajwa hapo juu ni majalala ya siasa hawana jipya kwenye ulimwengu wa kisasa.
 
Jordan Moro nao wameanza kufyatua PhD. Sifa za Kuwa Professor Ni rahisi Kama kuwa admin wa WhatsApp group. Tunakwenda wapi?
jambo usilolijua ni kuwa private sectors ndio zinaongoza dunia kiuchumi,nilikuwa napitia nchi ya china Ph.D graduates Kwa 2019 ni 49,498 kwenye STEM field pekee huku U.S wakiwa 33k (forbes) out put yake ni economy stimulation through research,innovation,and creativity.
~endelea kushangaa utaishia kusikia china wanatupa mikopo ya riba nafuu.
 
Tatizo hiyo PhD huwezi kupata kazi vyuo makini (SUA, UDSM, Muhimbili, Ardhi, NMAIST, MUCCOBS) labda ubaki huko huko parokiani
Mbona kwenye vyuo hivyo watu kutoka Mwenge wamaajiriwa na wanafanya kazi with great outcomes
 
Tatizo hiyo PhD huwezi kupata kazi vyuo makini (SUA, UDSM, Muhimbili, Ardhi, NMAIST, MUCCOBS) labda ubaki huko huko parokiani
Unaishi kwa kudhania kwenye ulimwengu wa leo, sidhani kama mnyororo wa kupata PhD unaujua vizuri kwani usingeongea maneno kama hayo... Waulize walionapata hizo PhD kwamba michakato ya kupata PhD ikoje ili ujue Mwenge wanatoa wataalamu kweli kweli
 
PhD ya Mwenge University au Jordan kazi serikalin hupati
 
Back
Top Bottom