PhD za ukweli zinatetemeshwa mchana kweupe, Msukuma(PhD) na Babu Tale(PhD) jitokezeni mumtetee msomi mwenzenu

PhD za ukweli zinatetemeshwa mchana kweupe, Msukuma(PhD) na Babu Tale(PhD) jitokezeni mumtetee msomi mwenzenu

Bado tupo nyuma sana katika kujielewa kwan sisi waTanzania Tulilogwa huko nyuma na Zaid Tukalogwa na wanaotuongoz wakiwa tayar wamelogwa

Kuna Yule alisema

Ukiw na akili Timamu kuish Tzs ni ovyooo [emoji2][emoji81][emoji847][emoji613]
Tatizo kubwa la nchi hii lina azia kwenye maadili, hapa ndio mzizi wa fitina ulipo.
Maadili mabovu yamepelekea tabia mbaya ya ubinafsi, uoga na kutojua kudai haki
 
Prof Maluma hapaswi Kulaumiwa kabisa, Binafsi namuelewa sana shida ni Mkataba ambao unamlazimu autetee kwa Vifungu kinzani ambavyo vinazidi Nguvu ya Mkataba wake hata ungekuwa wewe ungefanyaje apo.

Tunapaswa Kumpongeza kwa Ujasiri na Uimara wake kuendelea Kutetea na Kusimamia Misimamo ya Kulitetea Taifa letu na Rasilimali zetu.
Hao wazungu ni wahuni sana na Washenzi sana tunapaswa kuwapa Nguvu wausi wenzetu na kuwatia Moyo ili wakabiliane na Wahuni wa Dunia.

Mikataba ya Mataifa na Makampuni Makubwa yakija huja na Mbinu Nyingi za Mikataba ili Kunyonya Mataifa ya Africa, Hivyo Tunapopata watetezi kwenye Mikataba hiyo ni vyema kuwatia Moyo na kuwapa Nguvu zaidi yakuendelea kuwa wazalendo kwa Taifa lao.
Tuache kuwabeza watu wetu.

tusilaumu Beberu, tulaumu watu wetu wajinga wanaopokea rushwa na kukubali mikataba ya kibwege.
 
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha.
Amelowa!
Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men.

Wasomi wengine mlioko Tanzania , Msukuma PhD, Babu Tale(PhD) hebu mjitokeze mkamwage razi huko duniani, pengine ninyi mtaeleweka.
Masikini wasomi wa Tanzania, hasara tupu.

Sasa ki nchi ndio tutajifunza kuheshimu si tu elimu bali umakini, experience na proffessionalim katika fani zote za uchumi.
La kusema kwamba , limeamuliwa na msimamo wa chama matokeo yake tunayaona tungali hai.
[emoji1787]
 
Mruma alienda kwenye shauri nyeti bila kujiandaa, alionekana wazi kushitukizwa na maswali rahisi yaliyomchanganya. Kwa ujumla amejidharirisha yeye binafsi na chuo chake. Kuhusu kupigwa, ni sawa tu kwani mfumo wa kipigaji tuliojijengea ndio matokeo yake haya....Aibu! 😭
 
tusilaumu Beberu, tulaumu watu wetu wajinga wanaopokea rushwa na kukubali mikataba ya kibwege.
Hata kama mkataba ni mbovu,Ila Prof Mruma na wenzie wametia aibu Sana,
Kwanza wanasheria wetu wakati wana fanya crossexamination, wali kuwa wana maswali mazuri,lakini walikuwa wanauliza kama wanaogopa, unamuuliza shahidi kama una mbembeleza! Lugha imewapiga chenga Sana,
Prof Mruma ndio alitia fora, amepigwa maswali kujibu hawezi, anaonekana kama amekurupushwa usingizini, akabaki ana gonga meza na peni kama kadem kanatongozwa, anavua miwani ana vaa, kama teja vile
 
hahahahaha, maswali aliyokuwa anaulizwa yamemdhidi kimo maana hii mikataba tunayopigwa huku nyuma yake kuna wahuni ndugu zetu kabisa wa hapahapa.

Kingine, wasomi wetu wengi hawana exposure ya vitu walivyosomea zaidi ya kukariri theory za darasani na mades ya kufaulu mtihani.

Elimu yetu nayo haiendana na kasi ya dunia, imeachwa mbali na dunia.
 
Back
Top Bottom