PhD za ukweli zinatetemeshwa mchana kweupe, Msukuma(PhD) na Babu Tale(PhD) jitokezeni mumtetee msomi mwenzenu

Bado tupo nyuma sana katika kujielewa kwan sisi waTanzania Tulilogwa huko nyuma na Zaid Tukalogwa na wanaotuongoz wakiwa tayar wamelogwa

Kuna Yule alisema

Ukiw na akili Timamu kuish Tzs ni ovyooo [emoji2][emoji81][emoji847][emoji613]
Tatizo kubwa la nchi hii lina azia kwenye maadili, hapa ndio mzizi wa fitina ulipo.
Maadili mabovu yamepelekea tabia mbaya ya ubinafsi, uoga na kutojua kudai haki
 

tusilaumu Beberu, tulaumu watu wetu wajinga wanaopokea rushwa na kukubali mikataba ya kibwege.
 
Sasa ingekuwa ni Babu Tale pale si angeishia kurembua macho na kucheka cheka kama malaya aliyeona pesa.

Huyu msukuma angeishia kujisifia kuwa yeye tajiri.
 
[emoji1787]
 
Mruma alienda kwenye shauri nyeti bila kujiandaa, alionekana wazi kushitukizwa na maswali rahisi yaliyomchanganya. Kwa ujumla amejidharirisha yeye binafsi na chuo chake. Kuhusu kupigwa, ni sawa tu kwani mfumo wa kipigaji tuliojijengea ndio matokeo yake haya....Aibu! 😭
 
tusilaumu Beberu, tulaumu watu wetu wajinga wanaopokea rushwa na kukubali mikataba ya kibwege.
Hata kama mkataba ni mbovu,Ila Prof Mruma na wenzie wametia aibu Sana,
Kwanza wanasheria wetu wakati wana fanya crossexamination, wali kuwa wana maswali mazuri,lakini walikuwa wanauliza kama wanaogopa, unamuuliza shahidi kama una mbembeleza! Lugha imewapiga chenga Sana,
Prof Mruma ndio alitia fora, amepigwa maswali kujibu hawezi, anaonekana kama amekurupushwa usingizini, akabaki ana gonga meza na peni kama kadem kanatongozwa, anavua miwani ana vaa, kama teja vile
 


hahahahaha, maswali aliyokuwa anaulizwa yamemdhidi kimo maana hii mikataba tunayopigwa huku nyuma yake kuna wahuni ndugu zetu kabisa wa hapahapa.

Kingine, wasomi wetu wengi hawana exposure ya vitu walivyosomea zaidi ya kukariri theory za darasani na mades ya kufaulu mtihani.

Elimu yetu nayo haiendana na kasi ya dunia, imeachwa mbali na dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…