Pheromone

misoprostol

Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
14
Reaction score
1
Inasemekana kuwa mwanaume na hali kadhalika mwanamke ana sexual arousing hormone inayofahamika kama pheromone ambayo huitoa kwa njia ya smell. Je ni kweli?
 
duuuh nimependa id yako
 
Iyo ipo kwa viumbe kama mbwa,mbuzi,ng'ombe etc.hutoka kwa njia kuu ya mkojo.check mbuz dume anavyonusa mkojo kujua kama mwenzie yupo kwenye heat.
 
Ahsante measkron, but kuna habari pia huwa kuna human made pheromones kwa maana ya perfumes, lotions, soaps, chewing gums and many others ambazo zinatengenezwa viwandaji, ukiitumia na ukawa karibu na mtu of your opossite sex anakuwa sexually aroused, fungukeni zaidi hapa ili turahisishe mambo.
 

Mkuu misoprostol, hizo zinasemekana kuwepo ila kwa kweli hakuna clinical research data ambazo zinaelezea if they really work effectively as the natural ones zinazotengenezwa na mwili... hhizo hupatikana kwenye perfumes, lotions etc kama ulivyosema hapo. na katika pita pita nimekutana na hii hapa:

When it comes to men attracting women, there have been countless products and behavioral programs and plans that claim to improve the odds of a making that most desired connection. The problem is that most of these so called attraction methods fail to deliver. Either they don't work at all or they fail to deliver on even a portion to which they were hyped. However, on idea that seems to have a lot of promise is the idea of using pheromones as a natural way for men to attract women. The real question is if it actually works.
From a scientific standpoint, we simply don't know. There hasn't been any clinical data to suggest that it does. This is curious because it should. It is scientifically proven that pheromones are at work when it comes to attracting a female, and females do respond to the release of certain pheromones. However, man made synthesized pheromone products tend to not offer up any data to suggest that they work better than nothing at all. It could be that the man made pheromone substance isn't exactly like what is produced naturally in the body or the delivery system somehow interferes with the efficacy. Whatever the case may be, it seems that science has made its ruling.
However, science is not the only word on the subject. Today you can find plenty of different pheromone products for men, typically in a body spray or a cologne, and while science may not be very supportive of it, people, both men and women say that it works.
So who is right. Well, from a certain perspective they both are. However, science is not the last word on any subject because there are a lot of unknowns when it comes to science. Science may be a discovery away from finding the evidence that pheromones do actually work. It is for all intent and purpose an incomplete issue.
Secondly, while no data would suggest it works, people will swear that it does. And the fact of the matter is that there is nothing scientific about how something affects one person more than another person.
The key here is that to be sure, you might have to try it for yourself and see. It may work or your experience may prove out what recent scientific study has bore out for the present. Either way, you'll never know until you try.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu maeskron ahsante kwa ufafanuzi, naona thread imetengwa na wadau, si mbaya tutaenda nayo kiugumu. Enhe bado nna maswali. Do you know anything about the chemistry of love making? Haya fungukeni msikimbie na kumuacha maeskron pekee.
 
Mkuu maeskron ahsante kwa ufafanuzi, naona thread imetengwa na wadau, si mbaya tutaenda nayo kiugumu. Enhe bado nna maswali. Do you know anything about the chemistry of love making? Haya fungukeni msikimbie na kumuacha maeskron pekee.
khaa hii thread ngumu hii
 
Mkuu maeskron ahsante kwa ufafanuzi, naona thread imetengwa na wadau, si mbaya tutaenda nayo kiugumu. Enhe bado nna maswali. Do you know anything about the chemistry of love making? Haya fungukeni msikimbie na kumuacha maeskron pekee.

mkuu misoprostol............ hapa sasa CHEMISTRY OF LOVE MAKING...ina uhusiano mkubwa sana na Limbic system of the brain sehemu ya ubongo inayojihusisha na control ya vitu ambavyo ni aoutomatic kama impulse, sexual drive, pamoja na emotional changes. Hapa pia kuna neurotransmitter Dopamine, kichocheo habari, na pale inapotolewa ndipo mhemko unapokuwepo kwa wingi, sexual desire, pia kuna vichocheo vingine kama adrenaline, prolactin navyo pia huhusika wakati wa arousal na orgasm.
 
Last edited by a moderator:
Tuwekane sawa kwana kwa swala la pheromones, hii sio hormone bali ni chemical inayotolewa ili iweze kuashiria viumbe vinavyofanana (same species) kuchukua hatua fulani (to respond). Zaidi tunaona pheromones zinatumika sana kwa wadudu ambao wanaishi katika makundi makubwa (social insects) kama nyuki,mchwa n.k. Wanyama wanaokuwa kwenye "heat" huwa wanakuwa na hormones nyingi ambazo madume yanaweza kuzitambua kwa kunusa. Kwa wanadamu tumepoteza uwezo huo wa kuweza kunusa na kutambua kuwa mwenzio yupo kwenye "heat".
 
Kuna uwezekano kuwa dopamine inahusika at the time mtu mmoja kuvutiwa na mtu mwingine
 
Nimekupata measkron, mkuu mleta mada anafikiri kuwa pheromone ni hormone lakini sio, pheromone ni chemical inayotolewa na kiumbe ikiwa na lengo la kufanya viumbe sawa (same species) na alieitoa warespond. Hormone hutolewa ndani ya mwili na kutumika ndani ya mwili. Kwa binadamu wakati amehamasika kimapenzi huwa anatoa mafuta fulani katika kikwapa. Wale wenye "vikwapa" unaweza kuipata harufu hiyo ambayo mara nyingi sio nzuri. Kina mama wengine hupenda kuvaa mashati ya waume zao kwa sababu ya hako kaharufu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…