misoprostol
Member
- Feb 6, 2013
- 14
- 1
Inasemekana kuwa mwanaume na hali kadhalika mwanamke ana sexual arousing hormone inayofahamika kama pheromone ambayo huitoa kwa njia ya smell. Je ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana kuwa mwanaume na hali kadhalika mwanamke ana sexual arousing hormone inayofahamika kama pheromone ambayo huitoa kwa njia ya smell. Je ni kweli?
Ahsante measkron, but kuna habari pia huwa kuna human made pheromones kwa maana ya perfumes, lotions, soaps, chewing gums and many others ambazo zinatengenezwa viwandaji, ukiitumia na ukawa karibu na mtu of your opossite sex anakuwa sexually aroused, fungukeni zaidi hapa ili turahisishe mambo.
khaa hii thread ngumu hiiMkuu maeskron ahsante kwa ufafanuzi, naona thread imetengwa na wadau, si mbaya tutaenda nayo kiugumu. Enhe bado nna maswali. Do you know anything about the chemistry of love making? Haya fungukeni msikimbie na kumuacha maeskron pekee.
Mkuu maeskron ahsante kwa ufafanuzi, naona thread imetengwa na wadau, si mbaya tutaenda nayo kiugumu. Enhe bado nna maswali. Do you know anything about the chemistry of love making? Haya fungukeni msikimbie na kumuacha maeskron pekee.
Inasemekana kuwa mwanaume na hali kadhalika mwanamke ana sexual arousing hormone inayofahamika kama pheromone ambayo huitoa kwa njia ya smell. Je ni kweli?