semunga Mhina
Member
- Apr 13, 2016
- 42
- 30
Ni kweli ila sio kishamba kama enzi za dhalimu wa chattle.Hata hao ukiingia kwenye 18 zao kama Ulimboka wanakushughulikia tu.
oohh...issue ilikuwa ni hawa hawa akina kinana? ndo wamerudishwa tena kuchukua nafasi yake? hizi siasa zina mambo yake aiseeeeeee
Yule aliyeongoza madaktari wagome akaitwa na JAMHURI mara kadhaa akakataa?Hata hao ukiingia kwenye 18 zao kama Ulimboka wanakushughulikia tu.
Ni bora kuibiwa huku mnabembelezwa kuliko vile mlikuwa mnaibiwa na kupigwa virungu?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa.Naye Bernad Membe amerudi kundini. WITHER SUKUMA GANG.
Mungu Ibariki Tanzania, siasa za chuki zimeshindwa
Bado Christina na DanielWala pork kaeni pembeni.
Ashinde nani ili tuwe mabasha?Samia akishinda 2025 tutakuwa wasenge
Wala mdudu wakae kushoto.. Haa haa,Wala pork kaeni pembeni.
Kwahiyo Mangula hatakiwi kustaafu. Ni mpaka AFIE madarakani?
Hii NCHI, wanasiasa Ni tatizo. Ila wafuasi wa wanasiasa wote Ni tatizo kubwa mnoo
Hata yale yaliyolipua bomu kwenye mkutano wa chadema yatakuwa ndio hao sukuma gang!
Yaliyomtesa ulimboka ndio hao sukuma gang
Mwangosi alisambaratishwa na bomu toka kwa hao sukuma gamg
Rwakatare aliambiwa gaidi na haohao sikuma gang
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwa ujumla CCM imechoka tuache unafiki wala kuoneana aibu.Ashinde nani ili tuwe mabasha?
Sana!Ni kweli ila hawakufikia ushenzi wa Magu. Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika
Haitegemei kushinda kura kihalali kwani dhalimu wenu bado yupo?Kwa zile siasa za kihanithi alizoleta dhalimu, acha hayo majizi ya msoga yarejee. Nani anamsifia huyo mama, sisi tunashukuru nchi hii haiongozwi kwa siasa za kihayawani. Ccm haitegemei kura kukaa madarakani, na dhalimu ndio alikoleza tabia hiyo. Na hiyo ,2025 haitashinda kirahisi maana haina ushawishi wowote zaidi ya kutegemea vyombo vya dola. Cha muhimu dhalimu hayuko madarakani.