Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Samia anaweza kupinduliwa na Jeshi
Mkuu umeanza kuelewa sasa!Wala pork kaeni pembeni.
Kwa sababu zipi hasa za msingi? Jeshi halina chama we jamaaSamia anaweza kupinduliwa na Jeshi
Moyo wako utapanuka soonSo long as ni Ma-CCM wakafie mbele... Wacha wafu wazike wafu wenzao
Msoga wwwooyeeeMangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.
Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko...
Sijui watatazamana vipi na Bashiru ally hapo lumumba???? Mungu fundi nyieRadio mbao zinasema mzee wa mikakati anaingia kuupanga uchaguzi wa 2025.