Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

It is OK. Actually he has over lived in the position. To be replaced by another die-hard!!
 
Pongezi Kwa utumishi uliotukuka
 
Wakristu wa nchi hii wajinga sana, bure kabisa badala ya kushikamana wanamalizana wenyewe kwa wenyewe, anyway you are not Christians anyway ni Makabila kabila tu!
Hahaaaaa nani kammmaliza mwenzake
 
Sasa Chadema huu ndo muda wenu wa kushine kama mtakuwa na akili. Nendeni kwa wananchi mjijenge. Maana ukweli sasa hii iliyopo ni serikali ya kufavor matajiri ambao ni minority hapa Tanzania.
Nadhani ndo Tanganyika circle inachotaka, Chadema iwe active ila not too active. Balance katika vita vya siasa zisizo za kijamaa 100%.
 
Chadema ni sehemu ya wanamtandao kama huna habari ila ipo upande wa 'adui' kwny Movie husika

Mama asipoelewa wanaenda kuwaambia mtingisheni kidogo…si unaona sasa kelele za katiba mpya zimetengenezwa hatimae katafutwa then 'kaombwa' Mzee wa 'Havard' kuja kuweka mambo sawa

Nani anajua 'masharti' aliyotoa ili arudi 'kusaidia'



Sasa Chadema huu ndo muda wenu wa kushine kama mtakuwa na akili. Nendeni kwa wananchi mjijenge. Maana ukweli sasa hii iliyopo ni serikali ya kufavor matajiri ambao ni minority hapa Tanzania.
 
Aje Huku tuendelee kuchunga ng'ombe zetu...
 
Hivi Musiba atakuwa na hali gani?Wote aliowachambua na kusema maovu yao wamerudi serikalini. Kuanzia January,Nape na sasa Kinana bila kumsahau Membe.
 

Ugonjwa mkubwa ndani ya CCM ni kuchagua wazee. Kinana ni mzee ataweza mbio za cdm kwa sasa?​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…