Philip Mangula ang'atuka nafasi ya Umakamu Mwenyekiti CCM Taifa. Abdulrahman Kinana apendekezwa na Halmashauri Kuu kuchukua nafasi yake

Acha tu afukuzwe. Alimfanyia mizengwe, fitina,majungu na vituko Rais w mioyo yetu Lowasa.
 
Mafisadi yote yamerudi
 
Huyu
Huyu ana mawazo ya kijima, aondoke tu, tunahitaji watu wanaoweza kwenda na usasa
 
Huyu

Huyu ana mawazo ya kijima, aondoke tu, tunahitaji watu wanaoweza kwenda na usasa
Hao wa usasa walishindwa lakini maji ya kawa ha shingo ndio wakawafuata hao wa mawazo ya kijima kuokoa jahazi
 
Rudi Msoga kumenoga.
Wenye chama chao wanaingia ndani.

Nchi inafunguliwa, duuuuuh
 
Ni mzee acha apumzike
Kabsaaa naunga nkonoo 100% ...manake sio kwa kukoswa koswa kule ili hali ashakitumikia chama miaka mingi..halafu vijana wadogoo wakatumwa kufanya yaoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…