Elections 2010 Philip Marmo yupo hoi hospitali huko Haydom

mimi siwaelewi hawa watu , huyu Marmo na Mama Mongela.
Tunaposema siasa ni kazi ya Utumishi tunamaana Gani, unaotaka uwatumikie hawakutaki, wewe unaugua, aaah, wanataka nini hawa.
Kama kweli siasa ni kazi ya kuhudumia Umma, fadhaa yote, mistuko yote ya nini ?
mtakufa mshindwe kufaidi maunda ya Utawala wa wabunge wa CHADEMA bUREE
 
Hii inadhihirisha jinsi hawa watu wanavyopenda madaraka.
Kwa style hii watakua wanachakachua daima. SO TUWE MAKINI WANA MABADILIKO
 
Mwambieni aende akamtafute doktari wao wa CCM! Yahya amtibu!!:loco::loco::loco::loco::loco:
 
Hakuna dictator kama huyu na kwa muda mrefu ametumia jina la ukoo wake (feared) kungangania, yote yana-mwisho. Nami juzi tu kabla ya kampeni aliniita na rafiki yake moja nikapigwa mkwala, nikawaangalia mwishowe nikawaambia i am just a stundent na wala sina harakati za kuwa mwanasiasa KWA SASA, then akaanza kumwaga sifa mbaya za Akonaay, mwishowe nikamtakia la kheri na kumkumbishia kwamba mkuu uliaga 2005, akasema nauhitaji ubunge sasa kuliko muda wowote ktk maisha yake. Nampa pole nyingi
 
Baada ya kubwagwa na mgombea wa CHADEMA, ndugu Philip Marmo(mgombe ubunge: CCM- Mbulu) yupo Haydom akipata matibabu. Hata hivyo inasemakna kuwa hajalazwa Hospitalini bali yupo katika nyumba ya wageni akihudumiwa na Madaktari.

ccm sasa hivi haina shida ya madaktari. Amtafute Prof. Maji Marefu au Shekhe Yahaya watamsaidia sana watamsaidia sana.
 
Alikuwa ana nyodo sana huyu bungeni. sasa yamemkuta
 
Uchaguzi huu balaa!! Haijawahi tokea katika historia ya Tanzania.
 
Marmo aliwahi kuwaambia wambulu haoni mtu makini wa kumwachia jimbo la mbulu, aliwaomba wamletee mtu makini kama yeye. Mwaka huu watu wameamua kumfundisha.
 
Bado atawakilishwa kwa ufasaha pale mjengoni;

  • Abdul Mteketa
  • Maji Marefu
  • Jah People - Nikiwataja kwa uchache:smile-big:
 
Bwana Marmo alikua anategemea nguvu za giza za baba yake ambae alikua ni moja ya magwiji wa uchawi katika jamii za wairaqw. Ivyo ndo mana bwana Marmo alikua nyakati zote toka 1985 hana mpinzani ndani ya CCM. Mwaka huu mwanzoni baba yake alifariki. Na watu wakamtabiria kua huo ndo mwisho wake. Na kweli dalili zilianza kuonekana kwny mchakato wa kura za maoni za CCM,kwani alipatikana mpinzani ingawa Marmo alishinda. Ivyo anguko lake lilotabiriwa mapema mwaka huu baada ya kifo cha baba yake.
 
Katika mawiziri waliokuwa wananikera Bunge lililopita huyu naye yumo,kwanza hakuwa na uwezo wakujibu hoja or Swali kingine hata kuongea tu penyewe hajui.
 
Hao ni Jk type. matunda ya haki yanatafutwa na wachache , lakini wanufaikao ni wengi sana. Pamoja na kumwibia slaa atawaadabisha kwa maana ndie kiongozi wa chama kikuu cha upinzani. chonde chonde wakulugenzi wa majiji hamtafaidika tena maana palanja linaanza mara moja.
 
Kaka Ndibalema una hasira sana, tusimchome sindano, mwache apone ashuhudie maendeleo yatakayoletwa na CHADEMA Mbulu.

Kinachomfanya augue ni kama yafuatavyo:-

: Hajawahi kushindwa miaka yote
: Wakati wa kampeni alitumia pesa nyingi sana ambazo inasemekana alizikopa benki, ili azirudishe akishinda ubunge.
: Anawaza atazirudishaje wakati hayupo kwenye systems
 
Alivyokuwa na Kiburi natamani kusikia amekufa kabla hata ya kuliona bunge jipya la kihistoria. Alikuwa dictator na mtu hatari sana kwa demokrasia. Nilimuomba Mungu ampumzishe na kama angerudi bungeni asingemaliza miaka mitano akiishi.
 
Baada ya kubwagwa na mgombea wa CHADEMA, ndugu Philip Marmo(mgombe ubunge: CCM- Mbulu) yupo Haydom akipata matibabu. Hata hivyo inasemakna kuwa hajalazwa Hospitalini bali yupo katika nyumba ya wageni akihudumiwa na Madaktari.
Hah hah hah haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa alidhani yeye ni mungu mtu, na asiishie kuugua tu, ikiwezekana mungu aiwekw mahala pabaya, huko ahera...........na wenzie waendelee kumfuata kwa kasi ya ajabu, watuachie bongo yetu:israel:
 
Muache aungane na Masha, Hivi Masha ametoka Bugando?
 
Wagombea karibu wote waliokuwa mawaziri ambao wameshindwa wameishia mikononi mwa madaktari e.g Masha, Batilda na huyu Marmo. Huenda kuna jambo hapa. Kwa upande wa Masha inasemekana ametumia sehemu ya pesa za vitambulisho katika kampeni na alitarajia ashinde akafanye manuva kuzirudisha. Sasa kushindwa kulimfanya awaze atafanyaje kuzirudisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…