rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 456
Kaka Ndibalema una hasira sana, tusimchome sindano, mwache apone ashuhudie maendeleo yatakayoletwa na CHADEMA Mbulu.
Kinachomfanya augue ni kama yafuatavyo:-
: Hajawahi kushindwa miaka yote
: Wakati wa kampeni alitumia pesa nyingi sana ambazo inasemekana alizikopa benki, ili azirudishe akishinda ubunge.
: Anawaza atazirudishaje wakati hayupo kwenye systems
Yale yale ya Masha