Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Makamu wa Rais mstaafu ndugu Philip Mpango aliona mbali sana , kwa hofu ya Mungu na maono aliyopata akaona ni heri apumzike kuliko kushiriki dhambi ambazo zingekuja kumtesa yeye na kizazi chake milele na milele.
Pia kitendo chake cha ushujaa cha kujihudhuru kimemlindia yeye heshima kwa kiasi kikubwa sana.
Ujue siku zote pesa na madaraka ni matamu sana, sasa ukiona mpaka mtu anaamua kustaafu uongozi wa ngazi ya juu zaidi, ni dhahiri mtu huyo hana tamaa, ana maono ya mbali hivyo ameona ngoja akae pembeni waje wengine kusongesha gurudumu.
Kuna watu miaka na miaka wanazunguka tu kwenye uwaziri tangu miaka ile mpaka leo , na kukosa kwao ni kama tu mtawala wa kipindi husika hana connection naye vizuri ila kinyume na hapo wanatamani wafie madarakani na waachie gurudumu vizazi vyao navyo dislike nyadhifa za juu zaidi.
Kila la heri na pumziko jema mheshimiwa makamo wa rais mstaafu ndugu Philip, wenzako waliong'ang'ania madaraka kwa utemi soon watapata wanachostahili kukipata.