Wadau naibu waziri wa elimu mh Philip mulugo yupo ndani ya kipindi cha dk 45, huku mtangazaji akimpiga maswali mazito. Moja ya hoja alizokuja nazo ni ''bridging course'' iatakayo wawezesha form 6 leavers waliopata SSS katika michipuo ya sanyansi kusoma miezi 3, kasha kwenda na kujiunga na wale watakaokuwa tayari wameshajiunga na diploma ya elimu.