Phiri ni zaidi ya Mayele, Phiri ni winga ila anagoli za kutosha

Mtaule mgunda

Senior Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
193
Reaction score
61
Kuna watu wanadiriki kumfananisha Mayele na Jenerali Phiri, Mayele ni mshambuliaji na Phiri ni winga.

Phiri kupambana na Mayele kwa idadi ya goli ni heshima sana kwake.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kuna watu wanadiriki kumfananisha mayele na jeneral phiri,mayele ni striker na phiri ni winga,phiri kupambana na mayele kwa idadi ya goli ni heshima sana kwake.
Mateso yamezidi nachoka, pole mamaa kwa tabu unazozipata[emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445] by Marijani Rajabu
Wahenga tu mnakaribishwa

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
🀣🀣🀣

Wiki 2 nyuma ilikuwa phiri ni bonge la straika mayele akasome!!!, Baaada ya mechi mbili Sasa phiri amekuwa kiungo??. Mayele sio mchezaji wa daraja la kina phiri, mayele anafunga kila aina ya magori!, Kuna yule mpuuzi mwenzako anajiita nanii sijui... Alileta uzi humu wakipuuzi kumfananisha mayele na kibu🀣.
 
Wewe ndio unawalinganisha SIJAWAHI ona watu wana wa compare au watu ila wewe mleta Uzi ndio unawalinganisha Kwa kisingizio watu wengine wanawalinganisha
 
Mashabiki wa Ngada fc wanatafuta kila aina ya faraja inakosekana
 
Reactions: Exy
Yule ni mweupe kichwani na miguuni.
 
Reactions: Exy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…