Phobias.

Phobias.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Phobia ni hali ambayo kunakuwa na uoga kupita kiasi wa vitu ambavyo si hatarishi kihivyo.

Tucheki baadhi ya hizo phobias.

Hematophobia. Huu ni uoga wa damu. Kuna watu wakiona damu hadi huzimia.

Venustraphobia. Huu ni uoga wa wanawake wazuri.
 
Wiccaphobia. Uoga wa wachawi na uchawi.
 
Gynophobia. Uoga wa wanawake.

Hydrophobia . Uoga wa maji.

Dendrophobia. Uoga wa miti.

Phobophobia. Uoga wa phobias.
 
Heliophobia-
Photophobia-
Agoraphobia-

Zielezee na zenyewe.
 
Mimi uoga wangu ni wa heights na ants.

Aisee nikihisi tu kuna ants wananipandia ni kupiga yowe tyuuuuu na kutoka nduki.
Acrophobia. fear of heights.
Myrcemophobia. Fear of Ants.

Mi uoga wangu ni Vitu vyenye nchi kali. Nikiona wembe au kitu chochote kikali nakuwa uncomfortable kabisa. Nilikuwaga na kisu butu sana. ainaitwa Aichmophobia.
 
Duuh! na ambao ni waoga kidogo na sio waoga kidogo wanaitwaje?
Mkuu phobiaphobia ilinijia tu kichwani (I never heard of it myself).[emoji3][emoji3]

Sasa hapo kwenye waoga kidogo kwa hiki kingereza changu cha shilole sikawii kukwambia miniphobia [emoji3][emoji3], neutralphobia, halfphobia, incompletephobia [emoji3][emoji3]
 
Mkuu phobiaphobia ilinijia tu kichwani (I never heard of it myself).[emoji3][emoji3]

Sasa hapo kwenye waoga kidogo kwa hiki kingereza changu cha shilole sikawii kukwambia miniphobia [emoji3][emoji3], neutralphobia, halfphobia, incompletephobia [emoji3][emoji3]
Na mimi nilijua umenizingua ndio maana na mimi nikakuzingua, ngoma droo hiyo, hahahaha
 
Kwenye matibabu kuna kitu tunaita exposure therapy, Ndiyo ile face your fears. Hapa mtu unakabili kitu unachokiogopa hadi unakuwa huogopi tena. Mfano kama unaogopa buibui(arachnophobia) basi unaanza kuangalia movies za mabuibui, unasoma kuhusu buibui na anayatafuta na kuyachunguza.
 
Back
Top Bottom