Phobias.

Phobias.

Acrophobia. fear of heights.
Myrcemophobia. Fear of Ants.

Mi uoga wangu ni Vitu vyenye nchi kali. Nikiona wembe au kitu chochote kikali nakuwa uncomfortable kabisa. Nilikuwaga na kisu butu sana. ainaitwa Aichmophobia.
Asante kwa kutujuza
 
Mi muoga wa Giza,,aiseee ndani ukiwa na Giza peke yangu sikai
 
Mimi nina phobia ya kupokea simu, yaani nikiona simu naacha inakata then namtext aliyenipigia. Nimesahau hii phobia inaitwaje...
 
konkiphobia...uoga wa kutajwa na konki konk master
 
hivi hizi phobia ni za muda tu,sababu nmekua nikiwa nazo nyingi, hasa uoga wa utajir, uoga wa kuchangamana, wanawake wazuri, wa kuanzisha, etc... but kama nmevishinda vyote
 
Back
Top Bottom