Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Timu ya mpira wa kikapu ya phoenix Suns imekamilisha dili la kumuuza nyota wao Kevin Durant [power forward] kwenda katika timu ya Houston Rockets.
Kevin Durant ataungana na wakali kama Jalen Green na Alperen Sengun na wengineo kibao, kwa mujibu wa talkSPORTS.
Kevin Durant ataungana na wakali kama Jalen Green na Alperen Sengun na wengineo kibao, kwa mujibu wa talkSPORTS.