phoenix Suns imekamilisha dili la kumuuza nyota wao Kevin Durant kwenda katika timu ya Houston Rockets

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Timu ya mpira wa kikapu ya phoenix Suns imekamilisha dili la kumuuza nyota wao Kevin Durant [power forward] kwenda katika timu ya Houston Rockets.

Kevin Durant ataungana na wakali kama Jalen Green na Alperen Sengun na wengineo kibao, kwa mujibu wa talkSPORTS.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…