Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
mkubwa nimecheck hiyo kitu inafanya kazi vizuri sana.....Lakini sio kwa namba za nje ya TZ..mfano kwa namba U.K hiyo kitu haifanyi kazi.......
sorryy--------doesnt work braa!! try something else
Jamani mi nmejaribu inafanya mbona fresh tu. Isije ikawa nyie ndo mna matatizo. Nlichogundua tu ni kwamba namba ze2 zinaanza na sifuri. Hiyo sifuri usiichukue kama namba. Mfano 0784818396, namba tatu za mwanzo ni 784 na sio 078.
mzee hizo last four digits tuzijumlisha vp.....mfano kama last digits zangu ni 9604 nazijumlisha namna gani......9+6+0+4 au kipengere namba nne nijumlishe na namba ilivyo yaani + 9604?
Nimepiga hii number haiko hewani 0784818396 !
Usanii wa kibongo bongo si unajua tena!
uliambiwa uipige hiyo namba?si aliitoa kama mfano tu?jamani mbona twashindwa elewa????Nimepiga hii number haiko hewani 0784818396 !
uliambiwa uipige hiyo namba?si aliitoa kama mfano tu?jamani mbona twashindwa elewa????
Nilihisi unaweza kuwa mzigo hauna mwenyewe!
uliambiwa uipige hiyo namba?si aliitoa kama mfano tu?jamani mbona twashindwa elewa????
Ushakutana na Msonjo mazee ....wale wanakeketa kimtindo...
Hahahaha mzee wasonjo balaa wana radha balaaa full kujiexpress mpwa.