Yote hayo ameyataka VunjaBei.Wadau muwafikishie hizi salamu wahusika.. Sisi wauzaji tunapata tabu sana tunapofanya delivery ya jezi zenu kwa wateja kwani picha hazina uhalisia na bidhaa zenu.
Waambieni Ukweli WanaUtopolo....Wamezidi...!
Watu Wana hila 😂😂
Walau picha za Yanga zinasadifu 90% lakini za Simba 60%... Kuna ile kama nyeusi ya Simba ina uhafadhali 90%Za yanga nzuri hata kwa macho ila za simba ni mtihani sana
Ni mtihani kwakweli... Unafanya delivery kwa mtu wa Dubai unapata lawama kwamba umemtumia jezi feki kumbe ndio hali halisi.Ukweli mchungu...
[emoji23][emoji23][emoji23]Yote hayo ameyataka VunjaBei.
Kaleta Jezi ndani ya saa 8 zimeanza kuchanika begani.....(atumie pamba halisi ya bei ghari sio zile za Uchina.)
Kaleta jezi ndani ya siku mbili logo ya kifuani inabanduka ....(aache kutumia superglue)
Mambo kama haya ya jezi kuchanika na logo kunyofoka, kamwe huwezi kuyakuta kwenye jezi za Wananchi.
Hyo jezi mbona imechanwa kwa nguvu na sio kutatuka kwa kawaida, hafu kabla ya kupita picha za jezi futa kioo Cha camera y'ako ni kichafu mkuu.
Hahahaha hapo naona unazunguka mbuyu,kuwa muwazo sema Jezi za Vunja Bei ni malonyalonyaWadau muwafikishie hizi salamu wahusika.. Sisi wauzaji tunapata tabu sana tunapofanya delivery ya jezi zenu kwa wateja kwani picha hazina uhalisia na bidhaa zenu.
Na hiyo Logo nayo imechanwa kwa nguvu,mbona hatuoni matobo ya kilupitisha Uzi?Hyo jezi mbona imechanwa kwa nguvu na sio kutatuka kwa kawaida, hafu kabla ya kupita picha za jezi futa kioo Cha camera y'ako ni kichafu mkuu.
😀😀Na hiyo Logo nayo imechanwa kwa nguvu,mbona hatuoni matobo ya kilupitisha Uzi?
Za Yanga afadhali,vunja bei amejitahidi kwenye ubunifu lkn quality iko chini sana.