Photo Editing itaua biashara zenu za jezi Simba na Yanga

Photo Editing itaua biashara zenu za jezi Simba na Yanga

Hyo jezi mbona imechanwa kwa nguvu na sio kutatuka kwa kawaida, hafu kabla ya kupita picha za jezi futa kioo Cha camera y'ako ni kichafu mkuu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli aisee kioo cha simu kichafuuu
 
Na hiyo Logo nayo imechanwa kwa nguvu,mbona hatuoni matobo ya kilupitisha Uzi?
Hyo mumeng'oa na kupiga picha musambaze mitandaoni tunawashukuru kwa publicity yenu wether negative or positive imeboost jezi zetu kuuzwa
 
Back
Top Bottom