Photo: Hata kama ni michezo lakini hii TOO MUCH

Duh! Number 6 apo nouma babaake!
Afu eti unakuta ako kadogo/kafupi ndio kanashinda eti!!!!!!!!!
 
Kubwa kuliko teh teh! Vp paper chaser habari za ujerumani
 
Namba nne yamemfika -pembe furunguni si mchezo!
 
Aaaaaah!!!!!! Kweli its 2 much, ona number 4 yaani haiwezekani kuwa ni mchezo huo, waweza kufa hivi hivi. NIMEIPENDA. THANKS
 
Namba 7,9,10 nikiangalia sura zao nahisi hadi wastaafu hizo sura zitakuwa katika hali mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…