Photo: Putin meeting with UN Secretary General

Photo: Putin meeting with UN Secretary General

Wasomba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
418
Reaction score
568
Photo of Putin meeting with UN Secretary General

FB_IMG_1651083960437.jpg
 
Wale Wapiga ramli kuwa amekufa wapo wapi??
 
ingekuwa TANZANIA angekuwa hatarin, mimi namuona mjanja na ana akili sana,
sio inakuwa rahis kumuua rais kama bongo
 
Huyu sio mzembemzembe analijua game kiundani huwezi mwelewa.
Wakati Zelensky anajichanganya na makamanda wake anazurula nao Hadi mitaani na yuko kwenye nchi ambako ndo vita vinapiganwa na ndo kavamiwa anatafutwa na adui.

Putin yeye nchini kwake hakuna hata vita lakini kajificha ndani anaogopa hadi makamanda wake kuliko hata corona make sio kwa social distance hiyo [emoji2][emoji2]
 
Wakati Zelensky anajichanganya na makamanda wake anazurula nao Hadi mitaani na yuko kwenye nchi ambako ndo vita vinapiganwa na ndo kavamiwa anatafutwa na adui, Putin yeye nchini kwake hakuna hata vita lakini kajificha ndani anaogopa hadi makamanda wake kuliko hata corona make sio kwa social distance hiyo [emoji2][emoji2]
Putin anatafutwa hata kabla ya hii operation yake dhidi ya Ukraine.
 
Putin anaota yuko kuzimu kila siku, sio kwa hofu hii
Unajua kwa nini Fidel Castro alikuwa hai mpaka umauti umemfikia?

Ukiangalia interview ya Putin aliyofanyiwa na Oliver Stone aliulizwa anaishi vipi usalama wake hali ya kuwa amenusurika kufanyiwa assassination mara 5?

Jawabu alilolitoa ni aya ya kwanza nukuu ya juu! Putin alimtembelea Fidel Castro miaka ya 2000. Castro akamwambia siri ya maisha yake kuwa marefu ni kuwa usalama wake unaanza na yeye kwanza! Utakapoishia ndipo mwanzo wa wanausalama wake.

Na Putin ndivyo alivyojibu kuwa anawaamini wana usalama wake ila haimfanyi yeye abweteke. Maadamu ni usalama wake hivyo mwanausalama wa kwanza ni yeye. Usalama wake unaanza na yeye kwanza, mwisho wa mipaka yake ndipo mwanzo wa mipaka ya wana usalama wake.

Rais wa Russia ni rais mwenye mamlaka kamili. Rais wa US ni rais asiye na mamlaka kamili. Obama moja ya ahadi yake ilikuwa ni kuifunga gereza la Guantanamo. Baada ya kuwa rais wakaingia wale wazee wanaovaa suti White House mwisho wa siku ahadi yake haikutimilizwa. Hivyo hatari au usalama wa hawa watu unatofautiana.
 
Back
Top Bottom