Photo: Putin meeting with UN Secretary General

Una kapicha ka zele akitembea mtaani
 
Jifunze kutofautisha vitu viwili. Binadamu wote sawa lakini watu wote si sawa.

Zelensky huwezi linganisha Putin. Rais wa ukirein akifa madarakani kwa assassination siyo sawa na Rais wa Urusi. Rais wa Tanzania akifa kwa assassination siyo sawa na Rais wa Marekani.
Zelensky ni binadamu sawa na Putin lakini utu wa Putin siyo sawa na Zelensky.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…