Photo studio na gharama zake

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Salaam,

Mahali ninapoishi/wilaya haina mahala pa kusafishia picha, inawalazimu kusafiri hadi mkoani kwenda kusafisha picha hizo.Kwangu nimeona kama ni fursa, nnafikiria kuingia kwenye biashara hii.

Nnaomba ushauri wenu, juu ya mahitaji Na vitu mbali mbali ninavyotakiwa kuwanavyo Ili niweze kuendesha biashara hii kwa mafanikio.Mambo yepi natakiwa kuyazingatia kabla ya kuanza Na wakati nnaendelea biashara hii.

Wapi nnaweza kupata mahitaji ya kila siku yahusuyo biashara hii.

Asanteni, nawasilisha
 
Wapendwa karibuni na michango yenu jamani.
 
tafuta camera wanaita saizi ya kati iwe Nikon au Cannone za kuchaji au za kuweka betri ni imara hizo na memory card au kama unataka kupiga kwa kutumia hizi Nikon 40D au 60D pia sawa ila gharama yake hizi ni kuanzia Laki Tano iyo saizi ya kati ni Laki Tatu ukitaka Camera inayo Rekodi matukio Nikon 3100,3200, 5200 na 90D katika Cannone zinazorekodi ni 550D, 1100D na hizo 5D na kuendelea ukipata Camera yoyote kwa majina hayo unaweza kufanya kazi pia upate hiti mashine ya printer kwa ajili ya kusafisha hizo passport size zako hiyo hiti inauzwa Laki tatu tuu..
 
Picha za kawaida stasafishia kwenye nin
 
Picha za kawaida stasafishia kwenye nin
picha za kawaida unapeleka studio kusafisha maana mtambo wake ni gharama kama 40milion za kitanzania au ukipata Sumsung printer zimetoka kwa picha zipo vizuri huku Laki tano sijajua Tanzania maana bei hazieleweki huko...in short peleka studio wakusafishie picha moja tsh 350 na kuendelea nadhani..
 
Kama unataka kusafisha za kawaida, inakupasa utafute Mashine ya Epson , naskia Mwanza zipo bei ni 1000000 inauwezo wa kuprinti Picha za kawaida, na paper zake zinapatikana.
Pia itakulazimu uwe na computer ,
 
Kama unataka kusafisha za kawaida, inakupasa utafute Mashine ya Epson , naskia Mwanza zipo bei ni 1000000 inauwezo wa kuprinti Picha za kawaida, na paper zake zinapatikana.
Pia itakulazimu uwe na computer ,

Kama unataka kusafisha za kawaida, inakupasa utafute Mashine ya Epson , naskia Mwanza zipo bei ni 1000000 inauwezo wa kuprinti Picha za kawaida, na paper zake zinapatikana.
Pia itakulazimu uwe na computer ,
Vp kuhusu ulaj wa wino!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…