DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Salaam,
Mahali ninapoishi/wilaya haina mahala pa kusafishia picha, inawalazimu kusafiri hadi mkoani kwenda kusafisha picha hizo.Kwangu nimeona kama ni fursa, nnafikiria kuingia kwenye biashara hii.
Nnaomba ushauri wenu, juu ya mahitaji Na vitu mbali mbali ninavyotakiwa kuwanavyo Ili niweze kuendesha biashara hii kwa mafanikio.Mambo yepi natakiwa kuyazingatia kabla ya kuanza Na wakati nnaendelea biashara hii.
Wapi nnaweza kupata mahitaji ya kila siku yahusuyo biashara hii.
Asanteni, nawasilisha